MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIMU (MEMES) KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NCHINI KENYA

Authors

  • Anne Wangari Munuku Chuo Kikuu cha KCA, Kenya

DOI:

https://doi.org/10.47604/ijl.1632

Keywords:

Mimu, Usemi, Matini, Uchanganuzi Hakiki wa Kilongo, Diskosi

Abstract

Makala hii imeangazia lugha ya mawasiliano katika utanzu mpya wa mimu ambao ni aina ya fasihi kidijitali katika mitandao ya kijamii ya Facebook na WhatsApp nchini Kenya. Matlaba ya makala hii ni kufafanua utanzu huu katika muktadha wa matumizi ya lugha nchini Kenya. Uundaji mimu ni jambo ambalo limeanza kufanyika kwa wingi katika mitandao ya Kijamii na kwa hivyo kuna haja ya kulifanyia utafiti. Makala hii ina malengo matatu: kutoa mifano ya jumbe za mimu zinazoundwa na Wakenya katika mitandao ya Facebook na Whatsapp; kubainisha sifa za jumbe hizo kimuundo na kimtindo; na kuchunguza dhima ya utanzu wa mimu katika jamii. Mbinu ya utafiti iliyotumika katika kazi hii ni usanifu taaradhi na data ilichanganuliwa kwa kutumia Uchanganuzi maudhui ambapo data ilitambulishwa kwa kuiweka katika kategoria maalum. Mimu 51 zilizorejerelewa katika makala hii zilikusanywa kupitia kwa makundi ya Whatsapp anayoshiriki mwandishi na katika kurasa za Facebook za mtafiti na "˜marafiki' wake wa mtandaoni pamoja na kurasa za wasanii mashuhuri wa mimu. Mimu zilizorejelewa katika makala hii ziliundwa kati ya mwaka 2017 na 2021.Mimu hizo zimechanganuliwa kiisimu kwa kurejelea mawazo ya nadharia ya Uchanganuzi Hakiki wa Kilongo ya Fairclough (1995). Nadharia hii imeafiki Uchanganuzi wa data husika na imefaulu katika kudhihirisha sifa na miundo ya mimu. Matokeo ya utafiti huu yanadhihirisha kuwa mimu zinazoundwa na Wakenya huwa na dhima maalum katika jamii na pia huwa na sifa za kipekee kimuundo, kimsamiati, kisemantiki na kipragmatiki.

Downloads

Download data is not yet available.

References

Baukhage, C. (2011). Insight into Internet Memes. 5th International AAAI Conference on Weblogs and Social Media, Bonn, Germany.

Batul, F. (2009). Chatspeak: Linguistic Evolution or Devolution. New York: Pergamon Press.

Blackmore, S. (1999). The Meme Machine. New York: Oxford University Press.

Chandler, R. (2013). Meme World Syndrome: A Critical Discourse Analysis of the First World Problems and Third World Success Internet Memes. Tasnifu ya Uzamili (Haijachapishwa), Chuo Kikuu cha Central Florida.

Chandler, D. and Munday, R. (2011). A dictionary of Media and Communication. New York: Oxford University Press.

Crystal, D. (2001). Language and the Internet. Cambridge: Cambridge University Press.

Ekdale, B. & Tully, M. (2014). Makmende Amerudi:Kenya's Collective Reimagining as a Meme of Aspiration. In, Critical Studies in Media Communication Vol. 31, 283-298.

Fairclough, N. (1995). Critical Discourse Analysis: The Critical Study of Language. Harlow: Longman.

Fairclough, N. and Wodak, R. (1997). Critical Discourse Analysis. In, Van Dijk (ed) Discourse as Social Interaction. London: SAGE Publications.

Fairclough, N. (2003). Analyzing Discourse. New York: Routledge.

Flecha Ortiz, J.A., Santos Corrada, M.A., Lopez, E. & Dones, V. (2021). Analysis of the Use of Memes as an Exponent of Collective Coping During COVID-19 in Puerto Rico. Media International Australia, 178(1), 168-181, https://doi.org/10.1777/1329878X20966379

Gelb, B.D. (1997). Creating "˜Memes' While creating Advertising, Journal of Adverising Research, 37(6), 57-59.

Hanks, W.F. (1989). Text and Textuality, Annual Review of Anthropology Journal. Vol. 1895-127(Oct 1989)

Henry, R. (2019). Role of Artificial Intelligence in New Media (Technology Based Perspective), CSI Communications, 42(10): 23-25.

Iloh, C. (2021). Do it for Culture:The Case for Memes in Qualitative Research. In, International Journal of Qualitative Methods, Vol. 20, 1-10. https://doi.org/10.1177/16094069211025896

Jenkins, H. (2006). Confronting the Challenges of Participatory Culture: Media Education for the 21st Century. White Paper, McArthur Foundation, Chicago, Illinois.

Kulkarni, A. (2017). Internet Meme and Political Discourse: A Study on the Impact of Internet Meme as a Tool in Communicating Political Satire. Journal of Content, Community and Communication, Vol.6 Year 3, ISSN:2395-7514

Leong, P. (2015). Political Communication in Malaysia: A Study on Use of New Media in Politics. Journal of Democracy-Creative Commons

Locke, T. (2004). Critical Discourse Analysis. New York: Continuum.

Machin, D. and Mayr, A. (2012). How to Do Critical Discourse Analysis. Thousand Oaks, CA: SAGE.

Milner, R. (2012). The World Mode Meme: Discourse and Identity in Participatory Media. Tasnifu ya Uzamifu (Haijachapishwa), Chuo Kikuu cha Kansas.

Mukongo, L.L. (2020). Participatory Media Cultures: Virality, Humour and Online Political Contestations in Kenya. In, Africa Spectrum 2020, Vol. 55(2) 148-169.

Munuku, A.W. (2005). Code Switching in the Contemporary Kiswahili Rap Song.Tasnifu ya Uzamili (Haijachapishwa), Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Nabea, W. (2021). The Discursive Counter-Power of Internet Memes in Response to the Management of the COVID-19 Pandemic in Kenya. In, English Academy Review 38(2):117-134.

Rasheed, A.A.P.K. Maria, C. & Michael, A. (2020). Social Media and Meme Culture: A Study on the Impact of Internet Memes in Reference with "˜Kudathai Murder Case'

Downloads

Published

2022-09-05

How to Cite

Munuku, A. (2022). MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIMU (MEMES) KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NCHINI KENYA. International Journal of Linguistics, 3(1), 30–49. https://doi.org/10.47604/ijl.1632

Issue

Section

Articles